Kiswahili karatasi la pili
By FESTUS MIBEI
Nakala hii ya Karatasi ya Pili ya KCSE Kiswahili Lugha imeandaliwa na Mwalimu Mibei Festus kwa ajili ya kuwasaidia wanafunzi kufanya marudio na kujiandaa vyema kwa mtihani wa KCSE.
Inahusisha ufahamu, ufupisho, sarufi, fonolojia, mofolojia, ngeli za nomino, vitenzi, sintaksia, semantiki, msamiati, nahau, methali na matumizi ya lugha, pamoja na maswali ya mazoezi na majibu ya kielelezo.
Lengo kuu ni kumpa mwanafunzi maarifa muhimu, mbinu za kujibu maswali na mazoezi yanayomsaidia kuongeza uelewa na kujiamini katika Karatasi ya Pili ya Kiswahili.