Kiswahili
High School

Kiswahili karatasi la kwanza

By FESTUS MIBEI

KCSE Kiswahili 102/1 – Insha ni nakala ya mafunzo ya Karatasi ya Kwanza inayomsaidia mwanafunzi kuelewa na kuandika aina mbalimbali za insha. Ina maelezo ya kina, miundo, mifano, mbinu za kupata alama, maswali ya mazoezi na mwongozo wa majibu. Imeandaliwa na Mwalimu Mibei Festus kwa ajili ya maandalizi bora ya KCSE.